Sauti yanikauka, kuililia watani
Machozi yapukutika, pukupuku mashavuni
Kifua chatatalika, chakatikia kwa ndani
Kwa kulilia watani Continue reading “Zenji Nalia Wat’ani”
Month: January 2013
Mcheza Kwao
Kucheza tucheze kwetu, kwetu tulikozaliwa
Kunako wazazi wetu, wazazi waheshimiwa
Heshima asili yetu, tuiombe tutapewa Continue reading “Mcheza Kwao”
Chawa Sasa Uondoke!
Chawa sasa huna budi , uniondoke kichwani
Uwe na mimi baidi, japo kuwa umachoni
Nafanya hivi kusudi, kunusuru langu ini
Chawa uuke kichwani ijapo umeshitadi Continue reading “Chawa Sasa Uondoke!”
Tabasamu
Mweledi wa tabasamu, hebu nitabasamiye
Uniondoshee ghamu, moyo wangu utuliye
Lako wewe ni adimu, sijaona mfanowe Continue reading “Tabasamu”
Kituko cha Mwaka Mpya
Nealikwa watuningwa, kwenda kusherehekea
Sherehe ya mwaka mpya, huu ulioingia
Hafikwa ni ya kufikwa, hapa tawasimulia Continue reading “Kituko cha Mwaka Mpya”