Linganisha mitazamo linganishi ya Kiswahili

Kai Kresse, profesa wa anthropolojia kutoka Chuo Kikuu cha Carlifornia, Marekani, akiwasilisha mada
Kai Kresse, profesa wa anthropolojia kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, Marekani, akiwasilisha mada “Re-reading Abdilatif Abdalla’s Pamphlet fifty years after Independence.”

“Linganish! Mitazamo Linganishi Juu ya Matumizi ya Kiswahili Kiisimu, Kifasihi na Kiutamaduni” ndio maudhui kuu kwenye Kongamano la 28 la Kiswahili hapa kwenye mji wa Bayreuth, kusini mwa Ujerumani, ambalo limeanza Jumapili ya tarehe 31 Mei na litaendelea hadi Jumanne ya tarehe 2 Juni 2015 kwenye jengo la Iwalewa Haus. Continue reading “Linganisha mitazamo linganishi ya Kiswahili”