Siwachi Kusema: Uhuru U Kifungoni

Kusema ni moja kati ya njia za kuwasiliana na kuwasiliana kwenyewe ni miongoni mwa tabia za viumbe hai, kwa mujibu wa wataalamu wa mawasiliano. Mtu ambaye hawasiliani, au hana uwezo wa kuwasiliana, huchukuliwa kuwa amekosa kitu muhimu sana kwenye maisha yake, kama vile ambavyo angelichukuliwa mtu asiyeweza kupumua, kutoa uchafu na ama kutembea. Continue reading “Siwachi Kusema: Uhuru U Kifungoni”

Andamo: Sauti ya ushairi kutoka ughaibuni

MIAKA mitano iliyopita nilipata kueleza namna ambavyo wanafunzi wa Chuo cha SOAS (School of Oriental and African Studies) cha nchini Uingereza wanavyofanya juhudi  kubwa kujifunza lugha ya Kiswahili.

Continue reading “Andamo: Sauti ya ushairi kutoka ughaibuni”