Kilio cha Usumbufu: Diwani mpya ya Kiswahili inayoangazia majanga ya kijamii

Ikiwa ni vigumu kusema kwa kinywa kipana ushairi ni nini, si vigumu kamwe kulitambua shairi zuri ni lipi. Mara unapolikabli (au tuseme linapokukabili), hukuvaa kwa nguvu za ajabu na kukupenya kwa hisia ya raha isiyoweza kuelezeka. Continue reading “Kilio cha Usumbufu: Diwani mpya ya Kiswahili inayoangazia majanga ya kijamii”

Tafrani: Tamthiliya ya Vita Baina ya Ukale na Usasa

Jamii ya Kizanzibari inapitia kwenye vipindi vyake vya mabadiliko kama zilivyo jamii nyengine zozote za kibinaadamu. Kubadilika kwa jamii huwa ni sehemu muhimu ya maisha na, kwa hakika, si adui wa maisha ya mwanaadamu. Continue reading “Tafrani: Tamthiliya ya Vita Baina ya Ukale na Usasa”

Kalamu ya Ally Saleh kwenye ‘La Kuvunda’

Uandishi wa hadithi fupi unafanana na uandishi wa ushairi. Mote muwili, mwandishi hulieleza jambo kubwa na zito kwa maneno machache. Bila ya shaka hadithi fupi ni refu sana kuliko shairi, lakini ni fupi sana kuliko riwaya au hata novela. Mshairi hutafautiana na mwandishi wa hadithi fupi kwenye matumizi ya lugha, mapigo ya sauti na muziki wa ndani. Kwenye mawili yote hayo, Ally Saleh si mwepesi. Ameandika tungo kadhaa za ushairi kama ambavyo ameandika hadithi kadhaa fupifupi. Msome hapa kwenye mkusanyiko huu wa La Kuvunda. Continue reading “Kalamu ya Ally Saleh kwenye ‘La Kuvunda’”

Sitiari katika kazi za fasihi

Wataalamu na wachambuzi wa fasihi wanakipa umuhimu mkubwa kipengele cha sitiari (uhamishaji wa sifa kutoka kitu kimoja kwenda chengine) miongoni mwa tamathali za semi katika fasihi. Kuna ambao wanafikia umbali wa kuhoji kuwa ni kipengele hiki pekee ambacho kinaweza kuipa uhai kazi ya fasihi na kuifanya isimame kwenye maana halisi. Sikiliza hapa mhadhara wa Profesa Kulikoyela Kahigi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mbele ya Kongamano la 29 la Kiswahili la Bayreuth, kusini mwa Ujerumani.  Continue reading “Sitiari katika kazi za fasihi”

Kenya Twendapi?: Re-reading Abdilatif Abdalla’s pamphlet 50 years after independence

Kai Kresse

ABSTRACT

The pamphlet Kenya: Twendapi? (Kenya: Where are we heading?) is a text often referred to but rarely read or analysed. Abdilatif Abdalla wrote it as a twenty-two-year-old political activist of the KPU opposition as a critique of the dictatorial tendencies of Jomo Kenyatta and his KANU government in 1968, and consequently suffered three years of isolation in prison. Many (at least on the East African political and literary scene) know about Kenya: Twendapi? but few seem to have read it – indeed, it seems almost unavailable to read. Continue reading “Kenya Twendapi?: Re-reading Abdilatif Abdalla’s pamphlet 50 years after independence”

Rethinking Hawaa: Gender in Abdilatif Abdalla’s Utenzi wa Maisha ya Adamu na Hawaa through the Lens of John Milton’s Paradise Lost

This article by Meg Arenberg analyzes the representation of Hawaa (Eve) in Kenyan poet Abdilatif Abdalla’s epic poem Utenzi wa Maisha ya Adamu na Hawaa [Epic of the Life of Adam and Eve]. Building on Alamin Mazrui’s contention that the poem can be compared to John Milton’s Paradise Lost, scholarly debate on Milton’s treatment of Eve becomes a lens through which to more closely examine Abdalla’s Hawaa and the larger gender implications of her role in the poem’s narrative. Continue reading “Rethinking Hawaa: Gender in Abdilatif Abdalla’s Utenzi wa Maisha ya Adamu na Hawaa through the Lens of John Milton’s Paradise Lost”